Hapa

KSh 200.00

Hapa Mu Dunia!

Hapa Lyrics

Digi mafosoro

Digi mafosoro digima

Digi mafosoro

Digi mafosoro begede digima

Digi mafosoro

Digi, digi mafosoro digima

Digi mafosoro

Digima mafosoro digima

Papa

Hapa mudunia 

Kunayo ba probleme ya mingi

Chuki na matatizo uzuni

Kama hauna mapedo

Dungu yangu utahukumiwa

Wenasema unampenda muumba wako

Najirani yako

Hauna mapendo na yeye

Mapendo

Bupendo

Bolingo 

L’amour

Wanadamu wana chuki 

Roho yao inaganda

Ukifanikiwa mafanikio ya hapa ulimwenguni

Wanajifanya marafiki 

Kumbe niya yao wote 

usifanikiwe Tito, Titus, utafanikiwa tu

Banakwenda ku balozi

Banakwenda ku bafumu

Banakwenda ku kilima

Banakwenda ku mabonde

Banaloga mu ngezi 

Banaloga mu nyargimba

Banaloga mu kaburi heeee

Ndungu yako hana chochote

Umeweka yote kwenye akiba yako

Ndugu yangu, hauna amani, mapendo

Mama yako anateseka kijijini

Na weye wenakula raha Nairobi

Ndugu yangu, hauna mapendo

Wanadamu wana chuki 

Roho yao inaganda

Ukifanikiwa mafanikio ya hapa ulimwenguni

Wanajifanya marafiki 

Kumbe niya yao wote 

usifanikiwe Tito, Titus, utafanikiwa tu

Banakwenda ku balozi   2;48

Banakwenda ku bafumu

Banakwenda ku kilima

Banakwenda ku mabonde

Banaloga mu ngezi 

Banaloga mu nyargimba

Banaloga mu kaburi heeee